Kipeperushi changu cha dawa za kulevya kimfikie Rais Magufuli

Vita ni ngumu lakini lazima kuwatingisha hata kama hujafanikiwa kuwamaliza basi watie hasara ili wajue kuna serikali. Kuogopa na kuwaacha waendelee kutamaliza nguvu kazi yote halafu hao watu watageuka majangili waliokubuhu waanze kumaliza watu kuwaundia zengwe lingine. Potelea mbali acha waanze mwisho baadae.
 
Mkuu mimi naamini Kwa nchi kama marekani hii vita ni kubwa Ila Kwa nchi kama tanzania haina ugumu Sana ni suala la maamuzi magumu tu. Waliopo nyuma ya hii biashara wapo wengi Ila wote Tukianza kuamua kuacha mambo ya busara kwenye hii vita basi lazima wakae. Serikali iamue Sasa magufuli pewa yale majina na kikwete Hawafiki hata 50 fanya kama ujitoe ufahamu kamata na uwaweke ndani Ulinzi mkali Sana Bila huruma Kwa mwezi mmoja tu tuone km madawa yataendelea kuingia.. Uamuzi pekee ndio huo . Atakayewatetea anahusika awe wa upinzani au serikali.. Fanya hio kitu magufuli Wewe ndio rais Ukisema ufuate sheria bado Sana
why marekani ni vita kubwa ila tanzania iuwe ndogo?
 
Back
Top Bottom