Kipengele cha 'DINI' ktk vitambulisho vya taifa

Mkuu! Jina si dini na Mke wako sio wa kwanza kubadilisha dini. Wapo kina Ibrahim Kiduma, Augustino Ramadhan, Mwaipopo nk. Kuhusu kuchakachuliwa, mbona uchaguzi 2010 ulichakachuliwa na JK bado ni President? Sasa kuficha/kukataa kipengele cha dini kitabadilisha dini ya Mkeo?
Mh Ponda hatakwenda katika tume ya takwimu kuhakikisha majina ya watu wote waliohesabiwa na dini zao, bali tunataka tatol number ya Watanzania, wanaume wangapi na wanawake wangapi? Wakulima, wafanyabiashara, wanafunzi, wafanyakazi na watoto wangapi? Then waislam, wakristo,Rastafari, Budist, Hindu, wapagani nk wangapi? Ambapo lingekuwa jambo bora na la kisasa, kuliko huo uoga wa serikali ya ccm wa kuficha ukweli.
 
Hauwezi pata kinga bila kujua Ugonjwa, na wanasema "mficha maradhi,kifo humuumbua" Angalia takwimu zote mitandaoni za population density utaona uwiano wa dini almost ktk kila nchi. Hata Tz pia wameweka hizo fake data. Serikali imepinga hizo takwimu, kwanini wanaogopa kuweka takwimu za kweli?
 
Yeh aim bothered because i feel sorry for you Why did God create fools like you??? If I'm not mistaken you are in your early 30s frustrated hujapata mume wa kukustiri ? So you're going to be in your late 30s by the time your menopause come ...At that time no one will come for you so this is what you do find all posts about islam and muslims and release your all tensions ...

news flash tough guy ponda inawezekana hana haja ya kuongeza mke wa tatu try to diss mtu mwengine maybe utapata bahati and yeah, good luck with all that... idiot

P.S - The last sentence of your post sure screams deep desperation on your part...
 
hizo data ni zipi? Je ni tofauti na zangu hapa chini?

Languages:
Kiswahili or Swahili (official), Kiunguja (name for Swahili in Zanzibar), English (official, primary language of commerce, administration, and higher education), Arabic (widely spoken in Zanzibar), many local languages
note: Kiswahili (Swahili) is the mother tongue of the Bantu people living in Zanzibar and nearby coastal Tanzania; although Kiswahili is Bantu in structure and origin, its vocabulary draws on a variety of sources including Arabic and English; it has become the lingua franca of central and eastern Africa; the first language of most people is one of the local languages
Religions:
mainland - Christian 30%, Muslim 35%, indigenous beliefs 35%; Zanzibar - more than 99% Muslim
Population:
46,912,768 (July 2012 est.)
country comparison to the world: 28 note: estimates for this country explicitly take into account the effects of excess mortality due to AIDS; this can result in lower life expectancy, higher infant mortality, higher death rates, lower population growth rates, and changes in the distribution of population by age and sex than would otherwise be expected

au hapa chini

https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/tz.html

Sijui kama ni sawa au tofauti, ndio maana tulitaka Sensa hii ingetupatia Jawabu sahihi.
 
Umesema ukweli!Maendeleo yanaletwa kwa bidii yako mwenyewe.Hivyo maendeleo hayajalishi wingi au uchache wa waumini. Tunaona mfano wa Israel na nchi za Waarabu.
 
Hii inasikitisha sana, Tanzania tunaenda wapi na udini huu, hivi viongozi wetu wako wapi wachukue hatua za maksudi kuepusha huu udini unaoenea kama moto wa kiangazi nyikani?, Hivi viongozi wetu hawaoni kuwa udini sasa umefikia hatua mbaya?. Sasa hebu ona huyu happy makuku, kumbe shida ni kujua wepi ni wengi kati ya waislamu na wakristo sasa ukijua halafu iweje, mtangaze taifa la kiislamu au?, au ikijulikana kuwa waislamu ni wengi ndio nini?
 
umesema mwenyewe fungua ubongo kuruhusu idea nyingine. Kama sio udini uliowajaa, kwani mtu akipotosha juu ya jambo fulani ndo unaanza kuilazimisha serikali kufanya kitu ambacho haijawahi kufikiri kukifanya? Kwa nini usiwafuate hao waliotoa takwimu na kuwauliza, wamezitoa wapi? Kwani lazima kukubaliana nao? Ukiwapotezea utapungukiwa nini?

Kama kweli mlidhamiria, mgomee hata vitambulisho, mdai huo uislam wenu
 
Hii thread nikijibu chochote nakula BAN bora nipite tu hapa,
Hapana mkuu usipite, wana jf tutafuteni solution ya udini, kama hakuna viongozi shupavu wa kupambana na udini ila tunao waku promote we cant just seat down and watch our country deteriorate kwa faida ya vizazi vyetu vijavyo we have to do something.
 
Fikra za udini ni mbaya kuliko kula nyama ya nguruwe!

Na bado MODS wanaziendekeza tuu as if na wao wanafurahia matusi na kejeli

1. Hivi na nyie MODS itafikia kipindi tujiulize credibility zenu kwa kweli kama ni ban haya leo mnipe.......hivi kwa uzi kama huu zaidi ya watu kutoa lugha za kejeli na kutukanana wat else do you expect itakuwa ni manufaa kwa mwananchi wa kawaida aliye kijijini huko????

2. Tunatofauti gani na magazeti ya udaku kila kukicha heading mbovu na hazina tija kama hii achilia mbali uchonganishi na chuki inayozaliwa baada ya watu kusoma na kuchangia.......au ndo mgema akisifiwa?????

3. We expect nyie muwe dira na kuongoza jahazi hili kwa usalama ila kwa mimi.....hili linanitia shaka kama kweli mko nalo makini maneno kama hii haina tija kwa Taifa, mtu binafsi, jumuia za kidini wala JF yenyewe

Bora kufa wima kulika kuishi kwa kupiga magoti...............come what may
 
Hii thread nikijibu chochote nakula BAN bora nipite tu hapa,

Usipite kimya mkuu let us join hands na tuseme kwa pamoja bila kutukana wala kuvunja sheria.......kukaa kimya ni unyonge wa hali ya juu kabisa........suala hili si la kukali kimya as linatutafuna kimya kimya na kwa sasa media kama hii JF inataka kuwa kisima cha chokochoko matusi na lugha ya kejeli zimewekewa sensor ila thread zenye hila mbaya na matokeo hasi kabisa zinaachwa hewani.......huu ni zaidi ya matusi ya nguoni yasiyoruhusiwa hapa

Mytake; MODS nao ni sehemu ya tatizo hili la udini hapa jamvini
 
Mkuu mkandala nakuheshimu sana ila naomba nireply kwa kuku quote, mkuu naomba basi utueleweshe umuhimu wa kujua wakristo wangapi na waislamu na wapagani ni wangapi, hii itasaidia nini katika umaana wa sensa?, je serikali ktk kutoa huduma itakuwa inaconsider uwiano wa dini?, au labda mimi binafsi sijaelewa huenda serikali inataka kujenga makanisa, misikiti na mahekalu kwa wanainchi wake ili ijue itajenga kwa uwiano gani?, sawa wewe mkandala umesema una dini, hiyo imani yako inanihusu nini mimi? ktk taifa la watu wazima dini ya mtu inamhusu nini mtu mwingine mpaka tuanze kuuliziana dini zetu, MKANDALA naomba utufafanulie.
 
Naombeni kutajiwa faida angalau 3 za U-dini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…