Kipengele cha Dark mode kwenye youtube.

Kipengele cha Dark mode kwenye youtube.

Hafidhmussa95

Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
20
Reaction score
15
Kampuni ya google imethibitisha kwamba kipengele cha mandari ya Dark mode kwa watumiaji wa youtube kimeanza kupatikana

Kwa kawaida muonekano wa youtube kwa muda wote umekua wa rang nyeupe
Lakini mtumiaji atakua na chaguo aidha aweke nyeupe au nyeusi (Dark mode)

View attachment 908761
Namna ya kuweka mandhari ya Dark mode kwenye youtube yako ni kuingia setting kisha general ambapo utaona neno Dark mode Themes na utalichagua.

Utumiaji wa Dark mode unasaidia kwenye utunzaji wa chaji ya simu yako.
 
Back
Top Bottom