Kipendacho roho

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Nimependwa nikaoa ,nikapendwa nikaoa ,sasa wote wananipenda ,nilikuwa na nyumba mbili ,nikauza zote nikanunu moja kubwa ya nafasi ,kwa vile walinipenda niliamini watakuja kukaa pamoja ,kila mmoja karudi kwao hawataki kukaa kwenye nyumba moja ,ila nimewapelekea SMS kipendacho roho hula hata nyama mbichi ,sioni sababu ya wao kuniepuka wakati wananipenda ,mpaka sasa hivi kimya leo ya tatu ,mnafikiri watarudi ? Halafu niliandaa chumba kimoja kwa ajili yetu,yaani nitakuwa nalala nao kwenye chumba kimoja kwa jinsi nilivyoona nawapenda na wao wanavho nipenda. Au walikuwa wananidanganya kama wananipenda ?

Kwani nyie wadada mkoje hivi hamuwezi kukaa nyumba moja chumba kimoja na mume wenu ?
 
Unapofikiri kitu, jiuleze kwanza je? nigelikuwa ni mimi igekuwaje, maumivu yake!!

acha kuwa na akili finyu kama kuku wa kisasa!! vyoooo,!
 
mangi nipe kifasibuku (kiroba)

huyu jamaa nimemchoka
 
Unapofikiri kitu, jiuleze kwanza je? nigelikuwa ni mimi igekuwaje, maumivu yake!!

acha kuwa na akili finyu kama kuku wa kisasa!! vyoooo,!

Naungangana na wewe my dear . Hivi why some men are like devil why? Kwa hiyo kama walikupenda ndio ukaamua to take it for granted or kumuolea huyo Wa kwanza mke Wa pili. Aihiiii ,nashikwaga na hasira na watu kama hawa. May the Lord forgive you.
 
Jaman!!!!Mungu kweli ana kazi tena ana kazi ngumu sana, cjui hichi kituko kilitokea wapi penye akili ya ajabu kiasi hiki!!
 
naona mmekuwa wakali ,hivi hamjawahi kupenda kwa dhati ,hivi kama ninyie hamtokubali ?
 
Jaman!!!!Mungu kweli ana kazi tena ana kazi ngumu sana, cjui hichi kituko kilitokea wapi penye akili ya ajabu kiasi hiki!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…