Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
Umechapia maandishi au?! SijakuelewaUfei
Naona leo umetuamulia wenye sura chunguSamahan naomba nimwashauri wadogozangu ambao hamjaolewa humu
Najua nimesema msitafute sana ma handsome na uzazi nimeshamaliza na sipo hapa kumsema toto wa mtu
Lakini napata shida sana na vijana wa wasafi
Hivi kweli mtu anamdatije - anaingiaje kwenye mahusiano na Harmorapa?! Au Harmonise? !
Maana hizo sura tu jamani sijui hata unawezaje kumkiss
Kuna siku alikujaga bodyguard wa Mondi ofisini kwetu na dogo m1 wa wasafi nilichokaa sana nimekubali mwarabu mweusi yeye kaoa ila reception yake baba doh sasa huyo dogo aliekuja nae ndio utatamani ucheke sijui ulie
Sura pua mdomo meno havina ushirikiano akicheka kama analia kwani hawa madogo wametokea kuzimu Au hapa duniani mbonaaaa?!
Namsifu Wolper kwakweli... sio KWA zile sura jamaa... Kuna sura utavumilia lkn sio za vijana wa WASAFI
Kama haujawahi kukutana na WASAFI LIVE utaona kama nakutania Au na-hate
Kweli Kipenda roho hula nyama mbichi ila nyama za wasafi ni za kuzikimbiaa
Yelooowi embu nikae kimya miee Mungu ananiooonaa
siku hizi akili zako zinakua ndogo,,Una stress?tatizo nini?anyway ..Mbona nyapu (kipochi manyoya) kina sura mbaya ila tunakipa heshima yake?
Vumilieni sura zetu kama tunavyovumilia ving'amuzi vyenu.
We shauri Yako. Atatokea tu kwenye uzao wako hata kwa mjukuu. Haya mambo yaache tu na usimcheke MTU.Samahan naomba nimwashauri wadogozangu ambao hamjaolewa humu
Najua nimesema msitafute sana ma handsome na uzazi nimeshamaliza na sipo hapa kumsema toto wa mtu
Lakini napata shida sana na vijana wa wasafi
Hivi kweli mtu anamdatije - anaingiaje kwenye mahusiano na Harmorapa?! Au Harmonise? !
Maana hizo sura tu jamani sijui hata unawezaje kumkiss
Kuna siku alikujaga bodyguard wa Mondi ofisini kwetu na dogo m1 wa wasafi nilichokaa sana nimekubali mwarabu mweusi yeye kaoa ila reception yake baba doh sasa huyo dogo aliekuja nae ndio utatamani ucheke sijui ulie
Sura pua mdomo meno havina ushirikiano akicheka kama analia kwani hawa madogo wametokea kuzimu Au hapa duniani mbonaaaa?!
Namsifu Wolper kwakweli... sio KWA zile sura jamaa... Kuna sura utavumilia lkn sio za vijana wa WASAFI
Kama haujawahi kukutana na WASAFI LIVE utaona kama nakutania Au na-hate
Kweli Kipenda roho hula nyama mbichi ila nyama za wasafi ni za kuzikimbiaa
Yelooowi embu nikae kimya miee Mungu ananiooonaa
Hahahahah nimechekaNaona leo umetuamulia wenye sura chungu
Hahaha kama tunavyovumilia mipunda na bamia zenu ee?!Mbona nyapu (kipochi manyoya) kina sura mbaya ila tunakipa heshima yake?
Vumilieni sura zetu kama tunavyovumilia ving'amuzi vyenu.
Ahahahasiku hizi akili zako zinakua ndogo,,Una stress?tatizo nini?anyway ..
Sio kwa sura za vijana wa wasafiMm naona sura sio kivile ila mwanaume akiwa na pesa na tango la maana inapendeza zaidi.
Shindwa maneno yako kwa damu ya Pasaka ambaye ni Yes Kristo wa Nazareth.. Amen. Haitakaa itokee kwa jina last Yes Kristo wa Nazareth Amen.We shauri Yako. Atatokea tu kwenye uzao wako hata kwa mjukuu. Haya mambo yaache tu na usimcheke MTU.
Hahahahahha bora umenisaidiaUmegusia jambo la msingi.
Kuna yule jamaa wanamwita Sheta, sura yake huwa kama analia na kucheka kwa wakati mmoja. Halafu mdomoni utafikiri ametafuna meno yake mwenyewe. Na macho yake ni kama ndubwi mwendokasi. Wanawake mnavumilia mengi sana aisee!
Usicheke mungu si athuman hawezi kukunyima vyote "survive for the fittest"Hahahahah nimecheka
Wewe ndio umenichekesha BroUsicheke mungu si athuman hawezi kukunyima vyote "survive for the fittest"
Aya sisterWewe ndio umenichekesha Bro