Kipanya

MMMhhhh kwa maana hiyo hata hivyo vipanya havielewi?

Mimi namsubiri Zitto tuu na karatasi yake
 
lugha ngumu muda mwingine inasaidia kuwaelewesha vichwa ngumu.......................
 
Mlinichagua niwaambie ukweli na ukweli ndiyo huo mimi sina maneno matamu halafu huyo mzee bure bado hajawatoka vichwani mwenu nataka nizalishe Tanzania ya wachapakazi wakweli na wenye kujituma na siyo kulalamika tu kila kitu serikali na nimesema sitoi chakula hahaaaa Magu hoyeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…