Kipanya wewe!

Kaaazi kwelikweli
Hao ni ma air hostage[emoji848][emoji848][emoji848] daaaah hii kweli ni nchi ya intapretenyuaaaa sijui, ila hivyo hivyo....

In God we trust
 
Kama kiongozi Mwenyewe hajui anenalo....Hii Nchi inapelekwa Machinjioni.
 
Au nauri zinatofautiana?
Hapana hao siyo wanafunzi ni Wahudumu wa ndani ya ndege (Airhostesses) wakisindikiza ndege yao kwenda Mangi Gereji kupigwa rangi. Labda hii ya wakubwa itapaa wachape kazi maana zile mpya zimepark tu hawajui zinangoja nini.

In God we trust
 
Huyu Kipanya vitu vyake ni hatari Mkuu.
Alafu ukimtazama mtu mwenyewe huwezi kudhania kama anaweza kusumbua akili zake ki hivyoo

In God we trust
 

Air Hostesses waliokuwa wamepangwa Kuongozana na Ndege kwenda Kupakwa Rangi huko Ng'ambo ( Marekani / Ulaya ) nao pia walikuwa wanaenda Kupakwa Rangi nyingi nyingi kwa kutumia ' Mitalimbo ' myeusi eneo ' burudishi ' lililopo kwa chini katikati ya Miguu yao Sentimeta chache kutoka katika Vitovu vyao.
 
Huyo jamaa ni wa kumpuuza maana kama anadhani anaitetea ccm naamini hakuna kiongozi wa ccm wanao weza kumuunga mkono
Mnajvunia kuiba kura? Ushindi wa kulazimisha una mwisho wake tena mwisho unakuwa si mzuri

In God we trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…