Kipanya wewe!

Burdan kabisa jumamosi yangu imeenda vizuuri kabisa asante Kipanya....Ngoja sasa nianze kucheka Hahahahahahahahahahahahahahaaaa!!!!!!..Konyagi ndogo na ishushe mikono.
 
Lugha za watu zina wenyewe. Kichaa anataka kulazimisha anaishia KUBOFOA! Injinia soma hiyoooooooo!

kichaa: Air hostages
Umati: air hostesses
Kichaa: eh! Hao hao kiswahili mnawaita wahudumu wa ndani ya ndege

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣


Hao ni ma air hostage🤔🤔🤔 daaaah hii kweli ni nchi ya intapretenyuaaaa sijui, ila hivyo hivyo....
 
😂😂😂😂Kwenye huu utawala tuna mengi ya kujifunza
 
Hahahahahahahahhahahaaaa!!!!..Tate nane Mbavu zangu..
 
Reactions: BAK
Yap na hiyo itampa kura nyingi sana Lisu 2020
[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajameni itazameni hiyo picha mimi nimeshindwa kuielewa kipanya ana maanisha nini maana nawaona wanafunzi tu sijui wanaenda shule[emoji849]

In God we trust
Hapana hao siyo wanafunzi ni Wahudumu wa ndani ya ndege (Airhostesses) wakisindikiza ndege yao kwenda Mangi Gereji kupigwa rangi. Labda hii ya wakubwa itapaa wachape kazi maana zile mpya zimepark tu hawajui zinangoja nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…