Kipanya the great

Yeah,kweli mkuu,umetoa wazo zuri. Mara mojamoja atakuwa anapata mawazo kutoka kwa wadau na yeye anatumia kipaji chake kufikisha ujumbe. Ila yote yanawezekana pia.

ila hata kama anapata mawazo toka kwa wadau, anajua kuyatendea haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…