Kipanya Tena

Kipanya Tena

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
72,935
Reaction score
102,692
Kwa aliyemuelewa atusaidie
5895037f085b304710c8cfbe99a90cd4.jpeg
 
Huyo kuku anataga? Kinu kinaenda wapi?
 
ukusanyaji wa mazao na kutokujua wapi wanayapeleka
 
simple...gari imeharibika na dereva kajilaza pembeni anasubiri spea ziletwe afunge ili safari iendelee

halafu dereva kavaa suruali ya kijani
 
Mbona rangi za mizigo zinataka kufanana na za peoples? halafu hivyo vigari si wanatumaga wacchaga kubebea mbege? kulikoni mbona kamekongoroka???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom