Kipanya tena

hahahaha...ha aisee hivi masoud -kipanya anadeserve kumchora mweshimiwa ivyo na mweshimiwa analichukuliaje ilo swala hahaha..h
Analichukulia poa tu, kwani hukumsikia siku ile anaongea na wahariri wa vyombo vya habari? Anasema kila siku hua anajiangalia kwenye kioo, yeye ndo kweli yuko kama vile anavyochorwa na kipanya?
 
hahahah..h duuu lakini masoud yule jamaa ni noma sana aisee
 
ilo chogo la mbele kila siku masoud analiongeza mpaka ifike 2020 atalichora lirefu kama jengo la nssf.
Wazungu wakitaka kuchora katuni kuonyesha kichwa chenye akili uchora bichwa kubwa nyuma kuna siri gani mana chogo ya mbele imeonyesha udhaifu kiakili au ni kajipu kamo ndani [emoji15] [emoji15]
 
hahahaha...ha aisee hivi masoud -kipanya anadeserve kumchora mweshimiwa ivyo na mweshimiwa analichukuliaje ilo swala hahaha..h
Kwani huyo ni mweshimiwa gani? Ni naona ni kibonzo tu cha kufurahisha kisichofanana na mweshimiwa yeyote hapa duniani, labda kama akili yako imekutuma kuifananisha na mtu fulani unayehisi ana kichwa cha hivyo.
 
icho ni kibonzo ndio ila hatakama unajifanya hujui nini kinaendelea ngoja nikufahamishe "huyo ndo raisi wetu mpaka 2025 be there" i hate pretender's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…