Kipanya ni noma sana

Kipanya ni noma sana

Masoud kipanya is objectively a great catoonist of the time in TZ cultural context.Uko juu Kp.Dependent thinkers like Msalani may not be able to internalize such a fact.
 
Mtazamo wa Kipanya unatafsirika hivi:

Kinyago tunachokichonga kwa sasa "KATIBA" kitakuja kutung'ata wenyewe hapo baadaye.(Tazama meno hayo ya mamba).
 
Hata huyo chura atakuwa anajisifia ya kuweza kuwogelea maji ya moto bila shida na chewo cha cha uchura utaa paa juu maana mafisadi hawakutigemea ya chura kugoga maji moto
 
Ndicho kilichofanyika bila shaka na kina Sitta & co...
 
Back
Top Bottom