Kipanya ni noma sana

...logically true aisee...
 
Duh,
Badala ya ng`ombe kuzaa ndama,amezaa CHURA!!

Ndoto za katiba mpya chini ya Sitta zinayeyuka taraaaaatibu,huku wajumbe wakijisifia kwa kutengeneza ILANI YA CHAMA!
 
Huyu jamaa huwa najiuliza hata uwezo wake wa kufikiria sipatagi jibu huwa nacheka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…