Kipanya ni balaa

...uchonganishi. Simpendi kabisa huyu kiumbe kipanya wa soud soud. Hivi anajua tunamchukia??? Ngoja iko siku atakuja kujua
Mpuuzi wewe,and I don't think so hata kweli umeenda shule,ivi unanzaje kumchukia kipanya , hakuna msomi alienda shule akamchukia kipanya,,,
 
Anatumia kazi ya sanaa na fasihi kufikisha ujumba. Kazi ya sanaa ni kama ifuatavyo:
  1. Kukosoa
  2. Kusifia
  3. Kuburudisha
  4. Kuelimisha
  5. Kutia moyo
  6. Kubadilika
  7. Kurekebisha
  8. Kukumbusha
  9. Kujihukumu
  10. Kujitadhimini
  11. Kujipima
  12. Kuwajibika
  13. Kuchukua hatua stahiki
  14. Kufichua
  15. Kuanika hadharani
  16. Kumboleza
  17. Kutia hamasa
  18. Kutetea
  19. n.k
Kama haya yoye yana msingi kwa watu na jamii kwa ujumla.....hawezi kuwekewa BAN!!!!!
 
Umenena vyema mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…