...uchonganishi. Simpendi kabisa huyu kiumbe kipanya wa soud soud. Hivi anajua tunamchukia??? Ngoja iko siku atakuja kujua
Iyo katuni ni nani kwani? Uyo mbona kama rowasa?Huko tunakoelekea huenda Kipanya akapigwa Ban, hizi facts zake kwenye hizo katuni huwa zinamkera sana 'mtukufu'.
Ngoja tusubiri.
narrow minded [emoji23][emoji23]...uchonganishi. Simpendi kabisa huyu kiumbe kipanya wa soud soud. Hivi anajua tunamchukia??? Ngoja iko siku atakuja kujua
Kanda maarum= kanda maalumMasoud soon ataitwa kituo cha kanda maarum kwa kosa ra uchochezi. Mtukufu hajalibiwi
Mwenye Nyumba ni Juma.Ahahahaaaaaa mwenye nyumba kauzu zaidi ya dagaa
Kirat sio wa mchezo ...fuata hiyo link uone anavoongoza katika list ya ma-celebrity wenye ndinga Kali bongo
CCM a.k.a sisimikisihuyo panya ataletewa paka mda si mrefu