Kuna mdahalo mmoja ulimshirikisha Mkapa.. Mrema akadai Mkapa kapewa zawadi ya dhahabu ikulu.. Lol.. Kauli iliwasumbua sana Mkapa na serikali yake.. Kila mtu akawa anakuja na kanusho lake.. Nakumbuka ikulu waliita waandishi wa habari na kuwaonyesha zawadi zote ambazo Mkapa aliwahi kupewa.. Vichekesho vilikuwa..