Kipanya na Tatizo la Mafao

Ndivyo inavyotakiwa, sasa kama sina miaka 55 na mimi pia sina kazi, shida zinaniandama na madeni ya watoto ada za shule;

Kwanini nisifoji nitimize miaka 55??? ukiniangalia nina mvi utadhani nina miaka 65 kumbe ni shida tu za maisha na kuku wa mabandani tunaokula.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kipanaya mkalii sana ktk mambo haya
 
Watunga sheria wetu wanachukua mshahara wa sh. 10,000,000 na posho nyingine kibao wakikopeshwa magari na kulipiwa mafuta. Kila baada ya miaka mitano wanapata kiinua mgongo cha 45,000,000. Sisi wanataka tukadai mafao baada ya kufa au kufikia umri wa kufa!
 
Serikali dhaifu inalazimisha raia wake wawe waongowaongo,so sad!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…