Kipanya na Corona

Africa is like home 😂
Hii kauli nimeielewa maana sisi ni makazi ya kile kinyume cha kujikinga na korona!! Hatunawi,tunapuuza mambo,hatuna wataalum na umaskini ndo unakandamizia kabisa!! Kweli is like home😂
 
Siku hazigandi na kwa sasa watanzania sasa wanalijua hilo hivyo hata cdm wasipo fanya kampeini lkn tume huru ikiwepo basi lumumba lazima wale ngwala
Hata akiondoka mikutano ya Chademawitaendelea kula pini

In God we Trust
 
Umesahau na wakubwa kushindwa kufunga mipaka kisa tuna urafiki
Africa is like home

Hii kauli nimeielewa maana sisi ni makazi ya kile kinyume cha kujikinga na korona!! Hatunawi,tunapuuza mambo,hatuna wataalum na umaskini ndo unakandamizia kabisa!! Kweli is like home

In God we Trust
 
Ugonjwa huu ungekuwa kwenye papuchi ningepata convulsions lakini kwenye hewa hautanipata hata siku moja
 
Africa is like home 😂
Hii kauli nimeielewa maana sisi ni makazi ya kile kinyume cha kujikinga na korona!! Hatunawi,tunapuuza mambo,hatuna wataalum na umaskini ndo unakandamizia kabisa!! Kweli is like home😂
TIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…