Kufuta ukiritimba huo wa ulaji mbona ndiyo target ya CDM? Tutakapoikomboa nchi wakuu wa mikoa na wilaya watatafuta mashamba ya kulima, la sivyo mikokoteni inawasubiri!
lazima tuangalie nini kazi za mkuu wa mkoa na nini kazi za meya kama vitu vinatofautiana basi iko haja ya kua na mkuu wa mkoa rejea katika local government under decentralization on devolution process