Huyo ni Tai, maarufu kwa kula mizoga, sasa yupo kasubiria Mizoga ya kwenye makaburi ambayo yameanza kufukuliwa, then yeye ajilie mizoga kiulainiii, Tai ni mahakama, mfufuaji mnamjua, .....malizia
Tai anamuuliza bundi siulisema huwezi kufukua makaburi? Bundi anajibu natamani kufukua lakini naogopa mizimu itakayotoka humo. Tai anacheka usijaribu ndugu yangu bundi, sijui huoni vizuri mbona naona kwenye kibao cha msalaba jina lako, kumbe na we unakaburi lako hapa. Budi " basi sifukui tena" wote wakabaki wanaangaliana,