peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 16,583
- 27,349
Kibonzo hicho kinaweza kuwa na maana nyingi, lakini kwa ujumla kinachora picha ya hali ya kisiasa nchini Tanzania, hasa kati ya vyama vya CCM na Chadema.
Kitochi cha '93.Andika kwa pembeni tafsiri yako Mkuu au uwanja wa kuandika comment kwenye simu yako haupo
SawaKitochi cha '93.
Nyumbu wamejiingiza kwenye shida kweli kweli ya kiakili.......hawana jingine wanalowaza zaidi ya unyumbu wao. Poleni.Sehemu kubwa ya kaburi na mchanga vinawakilishwa na rangi ya wazee wa no reforms no election ivyo ni chadema.
Shati la 🌲ni chama kilichoshika hatamu.
Mtu aliyedumbukia kaburini ni afisa mipango wa chama kinachowakilishwa na ilo shati ambapo kwa mtego walioutega walitegemea kukiua chama kinachowakilishwa na rangi ya hiyo ardhi na kukizika humo, kwa bahati mbaya matarajio yamekua ni magumu na kaburi linajaa maji ikiwa ni ishara ya marehemu aliyetarajiwa kufa mpk sasa yupo hai.
Kutumbukia kwa mtu na kutoa maji kaburini inaweza kuwa ni ishara mpya ya kujaribu kutengeneza matatizo na misuguano mipya ndani ya chama ili kukitetelesha na kukiua na hatimaye kaburi lipate marehemu wa kuzikwa umo .
Wingi wa maji kwenye kaburi ukilinganisha na yaliyofanikiwa kutolewa ni ishara ya uimara wa chama mpinzani unaopelekea mtoa maji kucheka kwa kuona kazi iyo ni ngumu na inaweza ikamchosha anayeyatoa maji kaburini.
Lipo barabarani, mfatilie kwenye page zakeLile gari la Kipanya lilifia wapi?
LipoLile gari la Kipanya lilifia wapi?
We unaota
Magulification must go on
Tafsiri yangu ni, wenye nguo za kijani mbinu yao si maiti iisubiri kaburi, ni kaburi lisubiri maiti. Meaning makaburi yao wanayachimba mapema halafu yanakaa wazi yakisubiri maiti.Itapendeza ukitoa tafsiri yako
Shukrani bwana Kipanya, ila michoro yako inakuwaga migumu sn kuitafsiri, kwnn?Sehemu kubwa ya kaburi na mchanga vinawakilishwa na rangi ya wazee wa no reforms no election ivyo ni chadema.
Shati la 🌲ni chama kilichoshika hatamu.
Mtu aliyedumbukia kaburini ni afisa mipango wa chama kinachowakilishwa na ilo shati ambapo kwa mtego walioutega walitegemea kukiua chama kinachowakilishwa na rangi ya hiyo ardhi na kukizika humo, kwa bahati mbaya matarajio yamekua ni magumu na kaburi linajaa maji ikiwa ni ishara ya marehemu aliyetarajiwa kufa mpk sasa yupo hai.
Kutumbukia kwa mtu na kutoa maji kaburini inaweza kuwa ni ishara mpya ya kujaribu kutengeneza matatizo na misuguano mipya ndani ya chama ili kukitetelesha na kukiua na hatimaye kaburi lipate marehemu wa kuzikwa umo .
Wingi wa maji kwenye kaburi ukilinganisha na yaliyofanikiwa kutolewa ni ishara ya uimara wa chama mpinzani unaopelekea mtoa maji kucheka kwa kuona kazi iyo ni ngumu na inaweza ikamchosha anayeyatoa maji kaburini.
Hili sindo lile kaburi walichimbiwa watu Fulani?
Hii Ni Tafsiri Yangu Kwa leo imeenda Na Matukio YoteBaada ya Chadema kuingia kwenye uchaguzi wa ndani ... Huyu jamaa mwenye shati la kijani
Alichimba makaburi yake akijua lazima tu huu mvutano baina ya hizo pande mbili zitawatengenezea kulikuwa chama
Lakini baada ya hoja kutibu majeraha na kuvuka salama ... Maana makuburi yake yakageuka kuwa kama swimming pool
Baada ya G55 kuibuka tenaaa
Jamaa kaona usinichezee acha nitoe maji kwenye kaburi maana Tumaini la chama kuingia kwenye mauti ni kubwa 🤣
Hii Ni Tafsiri Yangu Kwa leo imeenda Na Matukio Yote
Mkuu big up upo vizuri sana.Itapendeza ukitoa tafsiri yako
Unganisha dots uchaguzi ndani ya CDM na hili kundi jipya la waasi wa G55 ndani ya CDM. Hilo shati ni jezi ya CCM maana yake anayesuka mipango yote ya kuidhoofisha CDM ni CCM japokuwa ule uliosukwa kipindi cha uchaguzi ulifeli. Je, safari hii huu mkakati CCM waliokuja nao wa kuanzisha waasi wa G55 ndani ya CDM utafaulu? Ndio maana jamaa anatoa hayo maji huko shimoni akitegemea chochote kitaikumba CDM.