Mwezi wao huu, wapigwe vita mpaka wahusika waamke hahaaha
Wachina ndo kila kitu kwa nji hii!! Wana abudiwa kama miungu.....AibuuuuAisee kibali cha kufanya kazi anagongewa hapo hapo terminal 3.
Harafu wanakuja masikini tu wanapewa michongo ya mikopo na Wazawa kwa kutumia vibali na dhamana za wazawa na kutoa rushwa kubwa kubwa..Wachina ndo kila kitu kwa nji hii!! Wana abudiwa kama miungu.....Aibuuuu
Same energyAisee kibali cha kufanya kazi anagongewa hapo hapo terminal 3.
Mi namashaka kapews kazi maalumu🤣Huyu panya Kwa Nini anawaandama sana wachina?wachina wamechangamsha biashara maana tunapata bidhaa Kwa bei ndogo kuliko zinazouzwa na watanzania.
ANAMAANISHA WACHINA YANI