Kipanya kaua bendi leo

ssa wakimbiaji wetu wamekesha kwenye bia ..hapo wengine wametoka gesti miguu haina stamina watashindaje mbio ndefu hivo

moja ya sababu ya kitabu alichobeba mwanariadha hapo juu.lol
 
Mi sijuia vyuo vikuu huwangali nini au mchango gani hasa ili kumtunuku mtu degree ya heshima...mimi naona Kipanya nae anastahili Phd ya heshima kwa mchango wake katika jamii
 
Mi sijuia vyuo vikuu huwangali nini au mchango gani hasa ili kumtunuku mtu degree ya heshima...mimi naona Kipanya nae anastahili Phd ya heshima kwa mchango wake katika jamii

offcourse anastahili ila wanasiasa wanapewa hiizi sio kwa kile walichoifanyia jamii ila kwa sababu wanalipwa fadhila kutoka kwa wale waliowateua
 
hivi kitu gani wabongo tuliwahi kushinda!?labda yaanzishwe mashindano ya wizi, ufisadi kuchakachua na kupiga dili hapo nnaimani tutakua washindi no 1 duniani
 
Watz tunaweza uzinzi na anasa tu baasi, mambo ya michezo siyo yetu.
 
Tatizo tunazungumza sana bila vitendo, tubadilike jamani!
 
Subirini baada ya mechi ya Taifa Stars na Msumbiji...lol
 
tumepata sababu ngapi leo?

 
Haika utakuwa lazma mtumishi wa umma! Yaani wakale bata kenya kujifunza kukimbia? Manake umenikumbusha trip za wakubwa kwenda kujifunza wenzetu wanatreat vipi maji taka,lol

umesahau mama mwanaasha anavyozunguka kuwafundisha watz kunawa mikono kwa hisani ya wamarekani!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…