Kipanya: Katika manunuzi ya ndege

Kipanya anaelekea kubaya sasa, shauri yake. Hahahah, eti kama kawaida yetu
 
Huyu kijana anatumika na mabeberu hana uzalendo kabisa na nchi yake aghrrrrrrr.
 
Jinga kabisa wewe,ndio unachowaza kichwani mwako au?
Maendeleo hayana chama,unga juhudi za Mh.Raisi Magufuli.

RIP.Dr.Mengi.
Taifa litabadilishwa na watu na wala siyo mifumo! Tukipata vipanya watatu kwenye hii nchi ni sawa na viongozi wote wa CCM kuanzia mawaziri hadi wabunge uchanganye kwa pamoja!
 
Hahaha duh na kapu la ndege #shkamoo_kipanya[emoji193][emoji193][emoji193][emoji193][emoji193][emoji193][emoji193][emoji193][emoji193][emoji193]
 
Tazama vizuri mkuu lile sio kapu ni dust bin,yaani tunanunua takataka!
Hahaha duh na kapu la ndege #shkamoo_kipanya[emoji193][emoji193][emoji193][emoji193][emoji193][emoji193][emoji193][emoji193][emoji193][emoji193]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…