kipanya kafunikwa

Hawa jamaa wote wawili Kipanya na nathan nawakubali sana
Wanawakilisha ujumbe wao wazi bila kuogopa
 
hajafunikwa bana , ktk wasanii VICHWA hao wote wana nafasi sawa ktk jamii.enzi zetu alikuwepo (jina limenitoka) akichora CHAKUBANGA, CHUPAKI, MAMA CHUPAKI, POLO NA BUSHIRI, huyu naye alitoa mchango mkubwa sana enzi zile kuelimisha jamii kama vile unavyomuona KIPANYA na NATHAN.
 

Alikuwa anaitwa Gregory, ni marehemu sasa.
 
Matumizi sahihi ya sanaa katika kufikisha ujumbe kwa hadhira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…