Picha inaonyesha mwananchi ambaye ni shabiki wa mpira akiwa anajisomea gazeti la michezo. Ushabiki wa mpira umemkolea kiasi kwamba hajui yupo ndani ya shimo linaloingia maji yanayoweza kummeza hatimae kupoteza maisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.