Kipanya awashtukia wateule

Maelezo kibao ila hujaonyesha alipochumia tumbo. Halafu unapata wapi muda wa kufuatilia matumizi ya fedha ya mtu asiyekuhusu? Kama kampuni ni yake sio mali ya umma.
 
Mkuu hao ndiyo vijana wa lumumba kazi yao kuu ni majungu na fitina tu.
Maelezo kibao ila hujaonyesha alipochumia tumbo. Halafu unapata wapi muda wa kufuatilia matumizi ya fedha ya mtu asiyekuhusu? Kama kampuni ni yake sio mali ya umma.
 
Maelezo kibao ila hujaonyesha alipochumia tumbo. Halafu unapata wapi muda wa kufuatilia matumizi ya fedha ya mtu asiyekuhusu? Kama kampuni ni yake sio mali ya umma.
Kama yeye anaupata muda wa kuchora watu na kukimbiza sketi za wanafunzi, basi jua hata mimi napata muda wa kumfuatilia. Si na yeye ni 'public figure'?
 
Huo ndiyo tunaitaga upashukuna
Kama yeye anaupata muda wa kuchora watu na kukimbiza sketi za wanafunzi, basi jua hata mimi napata muda wa kumfuatilia. Si na yeye ni 'public figure'?
 
Pumbafu siku hizi kama lingekuwa tusi basi Kalamaganda Kabugi angesha jiuzuru
Wewe unafanya nini mtandaoni kama sio upashkuna? Kula siku Bashite, Bashite! Sio upashkuna huo?? Pumbavu!!!
 
Hao vijana wa lumumba ndiyo staili waliyo bakia nayo tu kujipendekeza kwa mfalme wao ili mkono uende kinywani
Wewe na yeye nani mchumia tumbo? Unajipendekeza ili uonekane bora,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…