Hivi supervisor wenu lumumba upitia kila michango mnayotoa humuJF kujiridhisha kabla ya kulipwa b7?Huyu kipanya ni mchumia tumbo kama zito na mbowe hana lolote
State agent
Mkuu una kazi kubwa sana na wewe chumia kiunoHuyu kipanya ni mchumia tumbo kama zito na mbowe hana lolote
State agent
Hata wwe ukitumbuliwa mirija yako ya upigaji ikizibwa akili utakuwa na akiliHuyu kipanya ni mchumia tumbo kama zito na mbowe hana lolote
State agent
Kwa tunaomfahamu Masoud Kipanya tunamjua ni mchumia tumbo. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 alikuwa na kampuni yake KP. Ipo? Si aliifilisi kwa kukimbiza sketi za Jangwani na Kibasila, mwishowe akarudi kuganga njaa Clouds! Huyo anawatisha ninyi wa Ufipa msiomjua!Hapa duniani hajatokea mchumia tumbo kama vijana wa lumumba
Huyu kipanya ni mchumia tumbo kama zito na mbowe hana lolote
State agent
Kwa tunaomfahamu Masoud Kipanya tunamjua ni mchumia tumbo. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 alikuwa na kampuni yake KP. Ipo? Si aliifilisi kwa kukimbiza sketi za Jangwani na Kibasila, mwishowe akarudi kuganga njaa Clouds! Huyo anawatisha ninyi wa Ufipa msiomjua!
Bora kp mchumia tumbo and he is leaving a legacy for generations to remember him sio Sawa na wewe mchumia makalio mwisho wake watu wakutoe marindaaa na__na!!!!!!****#££???Huyu kipanya ni mchumia tumbo kama zito na mbowe hana lolote
State agent
ungekua hata na robo ya akili za kipanya ungeringa sana.Huyu kipanya ni mchumia tumbo kama zito na mbowe hana lolote
State agent
Vice versa hyooHuyu kipanya ni mchumia tumbo kama zito na mbowe hana lolote
State agent
kwani wewe unachumia kalioHuyu kipanya ni mchumia tumbo kama zito na mbowe hana lolote
State agent
Huyu Kipanya mbona kila siku anaramba miguu ya Kusaga pale Clouds? Anajua kilichomleta duniani?Wewe unafanyaje? Wewe ni mwabudu? Uko bize kusujudia wanaume wenzako tu. Hujui hata kwa nini umekuja Duniani.
Nje ya mada. Mkuu hiyo avatar yako imenikumbusha mbali sana wakati wa ubabe wa dola la Umoja wa Jamhuri za Kisoviet USSR au CCCP(Tamka SESESERE)Wewe unafanyaje? Wewe ni mwabudu? Uko bize kusujudia wanaume wenzako tu. Hujui hata kwa nini umekuja mDuniani.