Kipanya atoka na mpya jamani

Hahaaaa!jamiiforum hadi raha hasa kipindi cha uchaguzi but wapinzani msijisahau mkawa mnashangilia maigizo ya ccm mkasahau kupanga mipango yenu kuhusu uchaguzi mdogo.Hii ni mipango ya ccm kuwazubaisha tu kwenye uchaguzi
 
Hii katuni inazaidi ya miez 3. Wewe ndyo umeiona leo?
 
but wapinzani msijisahau mkawa mnashangilia maigizo ya ccm mkasahau kupanga mipango yenu kuhusu uchaguzi mdogo.Hii ni mipango ya ccm kuwazubaisha tu kwenye uchaguzi
Kama wapinzani watategemea kunufaika na ngonjera hizi wakajisahau (inaelekea hivyo), wataumia sana.
Sijui kama kuna mikakati wanayopanga ili wapate kunufaika na hali hii huko CCM kabla hawajazitumia mashine zao kutuliza hali. Kuna sarakasi zitachezwa sana hapa kuwapofusha wananchi.
Kazi ya vyama vya upinzani inapaswa kuwaelimisha wananchi madhaifu makubwa yaliyopo huko CCM, hasa haya ya Mwenyekiti wao. Hii ni kazi wanayotakiwa kuiandaa kwa umakini mkubwa, sio kazi ya kuparamia tu.
 
Naamini kazi zinafanyika kwa ufasaha sana hivyo basi wananchi upande wa wazarendo woote wa upinzani tembeeni mkijua tuna kazi moja tu ya kuitupa ccm ziwani
Hahaaaa!jamiiforum hadi raha hasa kipindi cha uchaguzi but wapinzani msijisahau mkawa mnashangilia maigizo ya ccm mkasahau kupanga mipango yenu kuhusu uchaguzi mdogo.Hii ni mipango ya ccm kuwazubaisha tu kwenye uchaguzi
 
Sasa kama tumerogwa nani atakuja kutuagua huo uchawi?
Daaah asavali nimepata pa kuuliza leo. Hivi neno kuagua huwa ni kinyume na kuroga eeeh? Yaani lia maana sawa na unrogaling antrogalismos?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…