Kipanya atoka na mpya jamani

Kipanya atoka na mpya jamani

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,268
Yule kiboko wa michoro ya katuni leo tena amekuja na kitendawali kinacho hitaji kuteguliwa na wenye weledi.
Karibuni tukitegue je nikweli yasemwayo na huyo mwanafunzi?
20190717_164748.jpeg
 
Yule kiboko wa michoro ya katuni leo tena amekuja na kitendawali kinacho hitaji kuteguliwa na wenye weledi.
Karibuni tukitegue je nikweli yasemwayo na huyo mwanafunzi?View attachment 1155771
Teeh teeh teeth 😁😁😁.....

Dogo yuko very sure kabisa kuwa anakwenda ku - disconnect waya kutoka "chanzo cha sauti" inayokuja kwenye kipaza sauti a.k.a spika...

Maana ndani ya begi likely kuna plaiz, bisbis, spanner, tester na kila kitu...!!

Hofu yetu ni kutoka kwa "wasiojulikana" wa Nissan nyeupe kumteka na kumpoteza kabisa dogo.....!!
 
Yule kiboko wa michoro ya katuni leo tena amekuja na kitendawali kinacho hitaji kuteguliwa na wenye weledi.
Karibuni tukitegue je nikweli yasemwayo na huyo mwanafunzi?View attachment 1155771

1563372993708.png

Kipanya saafi sana. This is a very strong message to Tanzanians..!!!
Huyo mwenye kipaaza sauti si mwingine baali ni Cyprian Musiba.
Mwenye kijani ni Mwenyekiti wa MafisiCCM badala ya kuchukua hatua na kumhoji huyo mwenye Kisemeo wanamshangaa kijana wa Shule(a.k.a Kipanya)...!!!Hii nchi kweli imerogwa na mchawi wake keshafariki dunia...!!!
 
View attachment 1155790

Umepatia kwa mwenye kipaza sauti tu!

Lakini kwa mwanafunzi na huyo mwenye kijani, umechemka
 
Wewe inaonekana hujui maana ya kusoma na kuelezea Vikaragosi.....!!
Kama nimepatia mwenye kipaza sauti, iweje nikosee hao wengine? Hebu tueleze hao 2 ni kina nani ili tukuelewe....!
 
Inawezekana kabisa na gloves anazo
Teeh teeh teeth .....

Dogo yuko very sure kabisa kuwa anakwenda ku - disconnect waya kutoka "chanzo cha sauti" inayokuja kwenye kipaza sauti a.k.a speaker maana ndani ya begi likely kuna plaiz, bisbis, spanner, tester na kila kitu...!!
 
Sasa kama tumerogwa nani atakuja kutuagua huo uchawi?

Back
Top Bottom