Kipanya anawakilisha?

Kipanya mwambie akujibu siyo yy kukuuliza tena wewe? na kama kweli hajui kwanini TZ tu masikini mshauri ajiuzulu maramoja.
 
Ipo juu sana kama kawaida ya katuni za kipanya.Bravo
 
Hahahaaah!! Kipanya nae kama kavaa ile jezi ya kile chama!
 
Hahahaaah!! Kipanya nae kama kavaa ile jezi ya kile chama!


Sio kama kavaa mkuu. Si ndio tumeambiwa anawakilisha!!!!!!Ndo maana yake. Bwa bwa bwa. Imetulia heeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!! Wao wanavua magamba!!! Sisi tunavaa magwanda.
 
Kipanya katulia message ya ukweli, ataambiwa katumwa na CDM sasa hv na hiyo gwanda.
 
ahv yule ni nani anaeuliza kwa umasikini? Lkn ana haki kama LIRaisi lilisema hivyo halafi likiwa linachekacheka
 
Jamaa bonge la marketer yaani anatangaza bidhaa zake kiaina, I'm lovin' it
 
anawakilisha,usiulize sana.eeh eeh hawajui umaskini na chanzo chake.
 
Huyu jamaa huwa anatoa meseji za nguvu sana. na hajaanza leo, mnakumbuka enzi za sisco Mtiro na mrema kule Temeke? then Brother Dito, halafu marehemu Mngeja alivyokuwa anawabana mbavu? ukitembelea website yake kuna meseji nyingine kali kwelikweli hadi wahariri wanazikataa. Bravo Kipanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…