Kipanya anamchokoza mtu

Likipita wimbi kubwa hapo hiyo boti ya mapanya buku inazama
 
Nilivyoelewa:
Mtumbwi (Muhogo) - Tanzania
Manahodha wa mtumbwi - Hata mimi siwajui mana sina mkojo wakupeleka kwa mkemia mkuu sina.

Manahodha wa mtumbwi ndio watakaozamisha huo mtumbwi kutokana na maamuzi yao ya kipumbavu, wanaamua kula muhogo bila kujali kwamba wanahatarisha maisha ya panya hao wengine ambao wao hawali sehemu yoyote ya mtumbwi.
 
Kipanya ana akili sana
Likipita wimbi kubwa hapo hiyo boti ya mapanya buku inazama

Hiyo boti ni nchi ya Tanzania, so kuzama kwa Tanzania maana yake nn? Nani atapona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…