Kipanya ana maana gani?

Mvua zinanyesha sana msimu huu
 

Attachments

  • IMG-20210224-WA0023.jpg
    45.5 KB · Views: 9
  • IMG-20210224-WA0014.jpg
    106.3 KB · Views: 15
  • IMG-20210224-WA0016.jpg
    79 KB · Views: 10
  • IMG-20210224-WA0017.jpg
    91.9 KB · Views: 12
Unafiki wa viongozi wa serikali ya awamu hii ni wa kiwango cha juu kiasi cha kuhatarisha maisha yao ili tu kumfurahisha mfalme. Ndani yao Unafiki huu unawala taratibu na sura zao zinaonyesha.
NB: Sijajibu kuhusu mchoro wa Kipanya
 
Uwongozi wa awamu hii umekuwa na kundi kubwa la wajinga wengi sana. Yaani mtu anazindua mashine ya kujifukiza? Sasa italikomboa vipi taifa.!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…