Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,266 Reaction score 98,304 Apr 28, 2021 #1 Yule gwiji wa habari picha maarufu kama Kipanya leo kaibuka na makundi yaliyo ibuka ndani ya CCM. Tafadhali mwenye uelewa wa kusoma habari picha atujuze zaidi sisi kina kwangu pakavu kwenye mambo ya habari.
Yule gwiji wa habari picha maarufu kama Kipanya leo kaibuka na makundi yaliyo ibuka ndani ya CCM. Tafadhali mwenye uelewa wa kusoma habari picha atujuze zaidi sisi kina kwangu pakavu kwenye mambo ya habari.
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 52,784 Reaction score 165,472 Apr 28, 2021 #2 Walikuwepo ila waliogopa kupotezwa.
C core22 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2016 Posts 3,974 Reaction score 23,315 Apr 28, 2021 #3 Walikuwepo ila waliogopa kupotezwa
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,750 Reaction score 37,410 Apr 28, 2021 #4 kuna uzi niliandika ukafutwa 2025 ccm wakitoboa basi,lakini leo tunaona wanaumana
Izato JF-Expert Member Joined May 15, 2019 Posts 5,402 Reaction score 11,582 Apr 28, 2021 #5 Safari ya Mama Samia mpaka kufikia 2030 inaonekana itakuwa na vigingi vingi sana. Inampasa na yeye pale atakaposhika rasmi nafasi ya uenyekiti taifa, alishike rungu sawasawa na kufyekelea mbali vizabinazabina wote.
Safari ya Mama Samia mpaka kufikia 2030 inaonekana itakuwa na vigingi vingi sana. Inampasa na yeye pale atakaposhika rasmi nafasi ya uenyekiti taifa, alishike rungu sawasawa na kufyekelea mbali vizabinazabina wote.
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,266 Reaction score 98,304 Apr 28, 2021 Thread starter #6 Salary Slip said: Walikuwepo ila waliogopa kupotezwa. Click to expand... Kwa sasa hivi wanaichukulia hii nafasi kama vile panya anavyo sherehekea mara paka aondokapo
Salary Slip said: Walikuwepo ila waliogopa kupotezwa. Click to expand... Kwa sasa hivi wanaichukulia hii nafasi kama vile panya anavyo sherehekea mara paka aondokapo
Tomaa Mireni JF-Expert Member Joined Sep 8, 2015 Posts 2,451 Reaction score 2,466 Apr 28, 2021 #7 chizcom said: kuna uzi niliandika ukafutwa 2025 ccm wakitoboa basi,lakini leo tunaona wanaumana Click to expand... Kwa katiba hii wanatoboa vizuri sana
chizcom said: kuna uzi niliandika ukafutwa 2025 ccm wakitoboa basi,lakini leo tunaona wanaumana Click to expand... Kwa katiba hii wanatoboa vizuri sana