SPANISH CP JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 465 Reaction score 230 May 27, 2014 #1 Akikuzwa vizuri atakuja kua mtaalamu mzuri. Attachments Dk!.jpg 14.4 KB · Views: 463
illuh JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 1,254 Reaction score 701 May 27, 2014 #2 tobaaaaa !!!!
theki JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 2,721 Reaction score 587 May 27, 2014 #3 illuh said: tobaaaaa !!!! Click to expand... Mbona unastuka..........?Ujasiri sio mpk uuwe Simba
VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,140 Reaction score 2,269 May 27, 2014 #4 ngoja akate kichwa
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 May 27, 2014 #5 Dogo kaona wapi?
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 May 27, 2014 #6 HARUFU said: Dogo kaona wapi? Click to expand... Na mimi ndio nashangaa sehemu zote hakuona isipokua iyo
HARUFU said: Dogo kaona wapi? Click to expand... Na mimi ndio nashangaa sehemu zote hakuona isipokua iyo
M mzawahalisi JF-Expert Member Joined Jan 11, 2010 Posts 752 Reaction score 238 May 27, 2014 #7 Dogo anataka kijihanithisha!!!?
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,820 May 27, 2014 #8 Dah! inanikumbusha kijukuu changu kilipokuwa na miaka miwili, kinanambia nataka kukata hii "chololo" yangu kila saa tu "inajojowa".
Dah! inanikumbusha kijukuu changu kilipokuwa na miaka miwili, kinanambia nataka kukata hii "chololo" yangu kila saa tu "inajojowa".
lyinga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 2,494 Reaction score 1,057 May 27, 2014 #9 FaizaFoxy said: Dah! inanikumbusha kijukuu changu kilipokuwa na miaka miwili, kinanambia nataka kukata hii "chololo" yangu kila saa tu "inajojowa". Click to expand... Kumbe uko njema nilifikiri mdada ndio maana saa zingine uko na busara.
FaizaFoxy said: Dah! inanikumbusha kijukuu changu kilipokuwa na miaka miwili, kinanambia nataka kukata hii "chololo" yangu kila saa tu "inajojowa". Click to expand... Kumbe uko njema nilifikiri mdada ndio maana saa zingine uko na busara.
Makamee JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 2,029 Reaction score 1,201 May 28, 2014 #10 Mwache akate tu akikua mkubwa atakuja Jf kutaka apewe tiba ya kibamia.