Kipaji huonekana tangu utotoni

Nafikiri sio kipaji (talent) tu bali pia ni 'great thinking and creativity'.
 
kipaji gani sasa?

maelezo tafadhali
 
Badala ya kuendesha maplastiki ya wachina kaamua kutengeneza lake mwenyewe

dogo kajitahidi sana sipendi kuona mtoto anachezea chezea vitu vichafuvichafu kama hivyo.

but still anakipaji big up kwake.
 
Aliyekudanganya hilo limetengenezwa na mtoto ni nani?

Hilo limetengenezwa na masayantisti watarajiwa wa moja ya chuo kikuu maarufu barani Afrika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…