Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,880 Reaction score 13,872 Oct 20, 2021 #21 FUSO said: Nimeangalia yake magoli yote aliyofungwa KMC nimejirishisha pasi na shaka kwamba kipa kwa KMC kauza mechi. Usibishe angalia tena na tena hasa goli la kwanza... Click to expand... Kauza goli la moko au yote? Makolokolo bana.
FUSO said: Nimeangalia yake magoli yote aliyofungwa KMC nimejirishisha pasi na shaka kwamba kipa kwa KMC kauza mechi. Usibishe angalia tena na tena hasa goli la kwanza... Click to expand... Kauza goli la moko au yote? Makolokolo bana.
Baraka21 JF-Expert Member Joined Mar 15, 2021 Posts 1,262 Reaction score 3,194 Oct 20, 2021 #22 Wabongo waaweza kukuangushia jumba bovu hadi ushangae. Kuna kipindi Kaseja alishawahi kusingiziwa kuuza mechi hadi alijuta
Wabongo waaweza kukuangushia jumba bovu hadi ushangae. Kuna kipindi Kaseja alishawahi kusingiziwa kuuza mechi hadi alijuta
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,508 Reaction score 45,127 Oct 21, 2021 Thread starter #23 Magoli gani haya - si vizuri wewe Shikalo kuwaumiza wenzako.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,535 Reaction score 139,844 Oct 21, 2021 #24 alipewa milioni 4
Maxmax72 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2018 Posts 578 Reaction score 1,056 Oct 21, 2021 #25 OKW BOBAN SUNZU said: alipewa milioni 4 Click to expand... Ungempa milioni nane ili asiuze ...
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 45,941 Reaction score 136,685 Oct 21, 2021 #26 rodrick alexander said: Goli la Kwanza mpira ulimbabatiza ila la pili ni la kipumbavu halafu anashindwa kupanga beki Click to expand... Mbona golikipa wenu Manula ameshafungwa magoli mengi ya aina ile lakini hamsemi!!
rodrick alexander said: Goli la Kwanza mpira ulimbabatiza ila la pili ni la kipumbavu halafu anashindwa kupanga beki Click to expand... Mbona golikipa wenu Manula ameshafungwa magoli mengi ya aina ile lakini hamsemi!!
E eliasmisinzo JF-Expert Member Joined Aug 13, 2021 Posts 1,259 Reaction score 1,323 Oct 21, 2021 #27 FUSO said: Nimeangalia yake magoli yote aliyofungwa KMC nimejirishisha pasi na shaka kwamba kipa kwa KMC kauza mechi. Usibishe angalia tena na tena hasa goli la kwanza... Click to expand... MANURA aliuza mechi kw MAUYA na MAYELE.
FUSO said: Nimeangalia yake magoli yote aliyofungwa KMC nimejirishisha pasi na shaka kwamba kipa kwa KMC kauza mechi. Usibishe angalia tena na tena hasa goli la kwanza... Click to expand... MANURA aliuza mechi kw MAUYA na MAYELE.
tony92 JF-Expert Member Joined Jul 17, 2013 Posts 2,402 Reaction score 3,709 Oct 21, 2021 #28 Kama ulimfwatilia msimu ulopita huyu kipa hata hakuna cha kushangaa. Maana ni kipa ambaye anafungwa sana magoli ya mbali hasahasa mashuti huwa anajisahau sana.
Kama ulimfwatilia msimu ulopita huyu kipa hata hakuna cha kushangaa. Maana ni kipa ambaye anafungwa sana magoli ya mbali hasahasa mashuti huwa anajisahau sana.