Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 672
Mie hilo jina lake tu nimelipenda.
Tambi ni lazima ziwe hizo Vermicelli?
Tambi ziwe km hizo kwenye pic hapo mammy
Shukran.
Ngoja nitajaribu,wanangu wanapenda tambi labda watapenda na hiki kiota!!
Jaribu mamii. Mapishi ndo hayo hayo kubadili njia tu ya upishi!!
Mimi nimetumia hizi...lkn zozote zinazofanana na hizi unaweza tumia dearHii ndo inaitwa khunafa ama?shogaangu anaitengeneza naipenda dah...lakini si kuna vitambi vyake maalum unatakiwa uvitumie ama?
Mrs Kharusy hiki kiota cha ndege kina jina lingine? Haya sasa weka na mapishi ya jelebi 🙂🙂 hizi mie nilikuwa nikila moja tu basi siwezi kuongeza, sukari ni nyingi sana na wakati huo wala nilikuwa sijajua madhara ya sukari nyingi mwilini ila zinaweza kutengenezwa kwa labda kuweka sukari kiasi.
Jelebi km kaimati, bila sukari au sukari kdg hazinogi. Km waogopa sukari bora uachane nazo tu.
Mrs Kharusy hiki kiota cha ndege kina jina lingine? Haya sasa weka na mapishi ya jelebi 🙂🙂 hizi mie nilikuwa nikila moja tu basi siwezi kuongeza, sukari ni nyingi sana na wakati huo wala nilikuwa sijajua madhara ya sukari nyingi mwilini ila zinaweza kutengenezwa kwa labda kuweka sukari kiasi.
Wapendwa za J1..
Kuna recipe hii ningependa kushare nanyi..
....
Bake mchanganyiko wako kwa dkk 25-30
Baada ya kuiva itoe kwenye oven na umimine maziwa ya sona kabla haijapoa
Baada ya kupoa weka kwenye fridge.
Kiota cha ndege tayari kwa kuliwa.
Shukran kwa recipe hii.
Jee temperature iwe ngapi wakati wa kubake?
Siogopi sukari kihivyo ila kwenye jelebi naona kama huwa sukari inakuwa nyingi sana, nikila jelebi moja tu basi lakini kuna watu wanaweza kuzila hata tano!!!!
Jelebi sijakaa kujifunza...kuna wakati fulani mama alikua akitengeneza nzuri lkn sukari ndo hivyo tena km ujuavyo!! ...lol