Wadau naomba mnisaidie kama naweza kupata kioo cha mbele(wind screen) cha Jeep Cherokee ya mwaks 87/89 pamoja na taa(parking lights na indicator zake za mbele). Tuwasiliane tafadhali. Nimejaribu kuattach picha nimeshindwa, naweza kukutumia kwa whatsapp au email