Lizzy acha masihara bwana! Yaani wanataka ujione unavyokunja sura au kusawajika?
BD napiga lakini hakuna njia ya mkato kwenye ile shughuli... sasa ndiyo unakutana na kioo chooni si inakuwa balaa!!Mamaaa mbavu zanguuu ha ha ha ha....
We Kigarama una hatari sana wewe...
Labda nikuulize aina ya chakula unachokula..lazima si balanced diet...
Ila itabidi nikodi taxi time hii straight to hospital..
BD napiga lakini hakuna njia ya mkato kwenye ile shughuli... sasa ndiyo unakutana na kioo chooni si inakuwa balaa!!
Lizzy acha masihara bwana! Yaani wanataka ujione unavyokunja sura au kusawajika?
BD napiga lakini hakuna njia ya mkato kwenye ile shughuli... sasa ndiyo unakutana na kioo chooni si inakuwa balaa!!
Huyu Nylon mimi ndo babaangu jamaniGogo lako unalokata,ni tofauti na magogo yetu... Yetu yako kama .... Mihadarati inavyokuwa sealed na nylon nyepesi... So soft... Mpaka na magazeti tunasomea humo.
Fanya appoitment na watu wa nutrition haraka...
uliku.n.ya ukajiona?Mara nyingi kwenyePhamacy nyingi huwa naona wanaweka vioo, nikawa najiuliza hivi vioo vinamsaidia nini mgonjwa,sikupata JIBU. siku moja nikiwa chumbani kwenye hoteli fulani nikaingia chooni kujisadia,SALALEE!! Kuna bonge la kioo kama la futi tano kwa tano, yaani ukikaa kwenye choo unajiona moja kwa moja. Sasa jamani hiki kioo chooni wamekiweka ili tujiangalie tunapofanya "shughuli" au ili iweje?