Kioo cha ipad

faby

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
2,214
765
Inauzwaje wakuu hiyoo screen,yangu imevunjika ImageUploadedByJamiiForums1370861121.114937.jpg
 
ni pm ......in tw0 nweeks ninazo screen za ipad iphone na s3 galaxy.
Hiyo ni...Ipad wifi+3G au wifi tu??
 
Ipad wifi...ina digitiser tofauti na ipad 3g..screens may look alike lakini the touch maynot work if you interchange the above two screens kama wanafanya mjini...na kuchemshaa.
As i said in 2 weeks nita kua na jibu ila nilikua nimeagiza ipad3g screen moja na it cant be substituted in wifi only model i suppose
 
mkuu na je screen ya ipod touch 3g utakuwa nazo?
Nimeiagiza moja tu.
By the way hiyo Ipod 3g imesha wai kugoma ,yani ku freeze ...huwezi kutuia wheel ..(I have solutions to that prob too) Watu wengi sana wana issue hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom