Kioo cha hisense smart 4k 58 inch

Kioo cha hisense smart 4k 58 inch

kua na akili wewe, ulishaona tv inavunjika kioo yenyewe? mpaka inavunjika jua imegongwa. huwez funga tv ukutani eti itoke urud uje ukute imevunjika au uweke mezani ivunjike tu yenyewe. kama una mtoto matundu yanavunja hizo ni shida zako au ww ni mlevi ukilewa ni full vurugu halafu unasahau ulifanya nn basi acha huo ujinga. hakuna kioo cha tv inavunjika chenyewe. angalia tv zote zilizovunjika lazma utaona kiligongwa wapi. haya kama kuna mtu humu tv yake ilivunjuka kioo yenyewe anyooshe mkono.

mwisho nikusaidie utajua bado mshamba. Kw ss tv inayouzwa sana Tanzania ni hisense. na hizo Samsung na LG hazinunuliw sana.

sasa chukulia kwa mwez huu hisense zmeuzwa PC 100000, Samsung PC 10000, lg PC 30000. unafikiri matatizo mengi atapata wateja wa kampuni ipi? automatic itakua hisense. ila hata hao Samsung au makampuni mengine yakiuza tv nyingi kushinda wengine nao watakua na matatizo mengi vile vile. sikupi elimu tena. mlevi ww.
Hisense ni bei rahisi ubora rahisi. Ni kama tecno au itel phones

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
kua na akili wewe, ulishaona tv inavunjika kioo yenyewe? mpaka inavunjika jua imegongwa. huwez funga tv ukutani eti itoke urud uje ukute imevunjika au uweke mezani ivunjike tu yenyewe. kama una mtoto matundu yanavunja hizo ni shida zako au ww ni mlevi ukilewa ni full vurugu halafu unasahau ulifanya nn basi acha huo ujinga. hakuna kioo cha tv inavunjika chenyewe. angalia tv zote zilizovunjika lazma utaona kiligongwa wapi. haya kama kuna mtu humu tv yake ilivunjuka kioo yenyewe anyooshe mkono.

mwisho nikusaidie utajua bado mshamba. Kw ss tv inayouzwa sana Tanzania ni hisense. na hizo Samsung na LG hazinunuliw sana.

sasa chukulia kwa mwez huu hisense zmeuzwa PC 100000, Samsung PC 10000, lg PC 30000. unafikiri matatizo mengi atapata wateja wa kampuni ipi? automatic itakua hisense. ila hata hao Samsung au makampuni mengine yakiuza tv nyingi kushinda wengine nao watakua na matatizo mengi vile vile. sikupi elimu tena. mlevi ww.
Akili kisoda.

Huna tofauti na wale wanaosema magari ya Asia na ya Ulaya yana ubora sawa.

Alili kama za kenge, bora ungekaa kimya.
 
Vioo tunavyo Huku Zanzibar tuma tu nauli mengine tutazungumza ukishapata mzigo
 
Chief-Mkwawa tusaidie ubora wa vioo kwenye TV kama Hisense na TV za makampuni tuliyoyazoea ya Samsung na LG.
Kioo kinatokana na model na model. Ila kama ni cha kubadilisha na hukipati kwa wakala mwenyewe possibility kubwa kikawa na Quality ndogo kushinda original.
 
Mwenye kioo cha hisence inch 43 4k......au anaeju wanakouza aniunganishe
 
hii
Screenshot_2024-01-09-11-49-03-966_com.instagram.android.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom