Kiongozi yeyote anayewapa watu vyeo kwa kulipa fadhila anafaa?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,699
149,925
Je,ikitokea anapatikana kiongozi wa aina hii katika jamii yako,utaaridhika nae na kumwamini?

Mtu wa aina hii ana mapenzi na watu wake au ana mapenzi tu na baadhi ya watu?

Kipimo kizuri cha kiongozi huwa ni muda hivyo ni busara kuweka akiba ya maneno pale unapopata kiongozi mpya katika jamii yako.

Ni ushauri tu.
 
Je,ikitokea anapatina kiongozi wa aina hii katika jamii yako,utaaridhika nae na kumwamini?

Mtu wa aina hii ana mapenzi na watu wake au ana mapenzi tu na baadhi ya watu?

Kipimo kizuri cha kiongozi huwa ni muda hivyo ni busara kuweka akiba ya maneno pale unapopata kiongozi mpya katika jamii yako.

Ni ushauri tu.
Like father like son, all is expected and more is to come!
 
Je,ikitokea anapatikana kiongozi wa aina hii katika jamii yako,utaaridhika nae na kumwamini?

Mtu wa aina hii ana mapenzi na watu wake au ana mapenzi tu na baadhi ya watu?

Kipimo kizuri cha kiongozi huwa ni muda hivyo ni busara kuweka akiba ya maneno pale unapopata kiongozi mpya katika jamii yako.

Ni ushauri tu.
Mkuu mbona unajifunga na hufunguki? Naona siku hizi umeamua kunena kwa lugha ukiwa Kisiwani Patimo!
Kichwa cha habari kama swali la kipima joto
 
Je,ikitokea anapatikana kiongozi wa aina hii katika jamii yako,utaaridhika nae na kumwamini?

Mtu wa aina hii ana mapenzi na watu wake au ana mapenzi tu na baadhi ya watu?

Kipimo kizuri cha kiongozi huwa ni muda hivyo ni busara kuweka akiba ya maneno pale unapopata kiongozi mpya katika jamii yako.

Ni ushauri tu.
Kwani walioteuliwa hawana sifa?..Mfano Humphrey PolePole..Unataka kusema hana sifa ya kuwa Mkuu wa wilaya?

Kwa mfano, nini sifa ya mtu kuwa Mkuu wa wilaya?..

Hivi ulitaka Rais amteue mtu ambaye hamuungi mkono(Rais) kuwa Mkuu wa wilaya?..

Je, umejiridhisha kama dhamira ya ndani ya moyo wa Rais ni kulipa fadhila?...
 
Nani kataja mtu hapa?Huko mimi siko!
 
Kwani walioteuliwa hawana sifa?..Mfano Humphrey PolePole..Unataka kusema hana sifa ya kuwa Mkuu wa wilaya?

Kwa mfano, nini sifa ya mtu kuwa Mkuu wa wilaya?..

Hivi ulitaka Rais amteue mtu ambaye hamuungi mkono(Rais) kuwa Mkuu wa wilaya?..

Je, umejiridhisha kama dhamira ya ndani ya moyo wa Rais ni kulipa fadhila?...

Kazi kuu ya wakuu wa mikoa na wilaya kwa sasa ni kueneza propaganda za ccm
 
Mkuu, Kuna habari zinasambaa kama upupu, kuwa Mzee JK ana handaki pale MSOGA, limetengenezwa kama STRONG ROOM za BOT, limejaa fedha tele! Wewe kama mdau wa Mkwere, hebu tujuze zaidi! Je hizi dondoo zina ukweli?

Huu ni ugomvi naona umeamua kumchokoza
 
Kwani walioteuliwa hawana sifa?..Mfano Humphrey PolePole..Unataka kusema hana sifa ya kuwa Mkuu wa wilaya?

Kwa mfano, nini sifa ya mtu kuwa Mkuu wa wilaya?..

Hivi ulitaka Rais amteue mtu ambaye hamuungi mkono(Rais) kuwa Mkuu wa wilaya?..

Je, umejiridhisha kama dhamira ya ndani ya moyo wa Rais ni kulipa fadhila?...
Nani kasema mambo ya magufuli hapa mbona unapanic?
 
Mkuu, Kuna habari zinasambaa kama upupu, kuwa Mzee JK ana handaki pale MSOGA, limetengenezwa kama STRONG ROOM za BOT, limejaa fedha tele! Wewe kama mdau wa Mkwere, hebu tujuze zaidi! Je hizi dondoo zina ukweli?
JK ataongoza ujumbe wa watu wasiozidi 7 kuelekea China kusign mkataba wa ujenzi wa reli..JK ndio mkalimani wa lugha..maajabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom