Kiongozi wa Mungiki aachiliwa huru na kua mkristo

Smatta,

..hivi una uhakika kwamba alikuwa jela huyo?

..unajua huko Bongo mtu aliyetoka jela huwa hafanani hivyo.

..inawezekana wenzetu Kenya mna jela nzuri sana.

joka kuu

mbona liyumba anang'aa zaidi au na yeye hayupo jela
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=eB-tywQ7N6U&feature=related[/ame]

Hii ndio raha ya Yesu Kristo, hata Mungiki anawasamehe dhambi, Mashehe noa wanaingia kwa Yesu. Rahaaaaa tupu kwa Yesu Kristo.
 
Maxshimba bwanaa!!!..haya nakuachia ukumbi.

Hata hivyo hii ishu is more than this man getting saved. His life is in
real danger from the big dogs of Kenya's political landscape and he needs
help. Hata kama ni kutoka nje ya nchi akasema yale anayojua. These news
conferences will not suffice. Jamaa wakiamua wanamuua then kwisha gemu.
Thats Kenya's political landscape as it is.
 
Mkuu, chakushanga, huyu bwana wanaweza kumpa Ubunge,

Upo sawa Mkuu, his life is at jeopady. But there is a Creator!
 
word. its that bad, he's the darling of the cameras now, wait till he blubbers something stupid, all the cross-hairs will be pointed at him and they will mean business. jamaa wife yake aliuliwa vibaya, cold blooded, he knows what he's dealing with, he's not dumb, the dude started a sect that now peak more than two milli followers, and has businesses worth hundreds of millions, so he's a calculating young man, he's not gonna go down easily.
 
Its possible, ukiangalia the number of followers he has, he can win an election, lakini mashambani, si Nairobi wala miji mingine. The other Mungiki leader, Ndura Waruinge (the one who converted to Islam) tried his hands in politics but failed misserably, so it depends with how people accept you, because this Maina Njenga guy is kinda polite, not aggressive or violent like his cousin Ndura.
 
word. its that bad, he's the darling of the cameras now, wait till he blubbers something stupid, all the cross-hairs will be pointed at him and they will mean business. jamaa wife yake aliuliwa vibaya, cold blooded, he knows what he's dealing with, he's not dumb, the dude started a sect that now peak more than two milli followers, and has businesses worth hundreds of millions, so he's a calculating young man, he's not gonna go down easily.

Smatta,

I remember the death of his wife na swali langu linakuja hivi,
....was it the Gover ama his fellow goons maana nasikia alikua na
mihela kibao amekataa kusamabaza?
 
Kuna statement flani nilisoma ya a slain police officer ambayo ili implicate kwekwe squad for the murder of njengas wife, let me see if I can find the scan and paste it somewhere here, its a good read I promise you that.
 
Maxshimba bwanaa!!!..haya nakuachia ukumbi.

Hata hivyo hii ishu is more than this man getting saved. His life is in
real danger from the big dogs of Kenya's political landscape and he needs
help. Hata kama ni kutoka nje ya nchi akasema yale anayojua. These news
conferences will not suffice. Jamaa wakiamua wanamuua then kwisha gemu.
Thats Kenya's political landscape as it is.

Mkuu kweli kabisa hili la wasi wasi na usalama wake ni kweli kabisa...ukiangalia what is at stake
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=vF-2529WfhA&feature=player_embedded[/ame]
 
Back
Top Bottom