G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,335
- 5,184
- Thread starter
-
- #21
Ana elimu gni?Hii inawezekana sio kweli mkuu kwa sababu yule Jordan Rugimbana ambaye ni mkuu ww mkoa wa Dodoma alikua ni kiongozi wa mbio za mwenge mwaka 2000 lakin mpaka leo anadunda ndan ya utawala huu wa Nyinyiem
kayaman, post: 20860744, member: 161143"]unapaswa kuwa umeiva imani ya chama, alafu zamani tulikua tunaambiwa eti mbio zikiisha haipiti muda yule kiongozi anakufa!
Huwezi kuwa mjeshi/ usalama halafu use kada wa chama, usipotoshe ummaVigezo:
1.awe mjeshi/usalama
2 awe kada wa chama
3.uwe na mpiga debe atakaye kupendekeza kwa wakubwa(channel)
4.Kunakupokezana bara na visiwani.
Acha ubishi, unamjua capt mwanosya alikuwa kiongozi wa mbio za mwenge miaka hii ya 2010 ila sina uhakika ilikuwa 2000 na kumi na ngapiHuwezi kuwa mjeshi/ usalama halafu use kada wa chama, usipotoshe umma
Wewe ulikuwa unaishi Cagrielo lazima!!Kwahiyo leo pande za ndiuka, igumbilo, viwengi, kitwiru ni full kubambiana...hongereni ila muwe makini na ndomu hizo maana nyie ni wazee wa IPP- Ipigolo Pika Pombe
Hii ni sehemu ya kuelimishana na kupeana habari. Ndgu wanabodiKuuliza si ujinga jamani, bali nataka kujua, kiongozi wa mbio za mwenge huwa anachaguliwaje? Qualifixation zake? Huwa ni mjeshi au kada wa chama? Na analipwaje?
Mkuu...mbna qualifications rahis sana kwa kila mtu kufuzu, haihitaji hata kwenda classKadi ya chama na uweze kutetea ujinga wowote kama ule wa Bashite
Sio kweli sasa hapo alikuwa kada wa chama gani?Acha ubishi, unamjua capt mwanosya alikuwa kiongozi wa mbio za mwenge miaka hii ya 2010 ila sina uhakika ilikuwa 2000 na kumi na ngapi
Hpo tumekupata mkuu...sasa iweje huyu mtu hadi anaenda kufanya ufunguzi wa shughuli mbali mbali za maendeleo lkn elimu hatuiongelei? Kwa hiyo, samahani niulize, ctaki kumkwaza mtu. .. huwa ni mtu hata mbumbu?Lazima uwe umepitia katika mafunzo ya jeshi hasa JWTZ, JKT,JKU.
Sifa nyingine ni kwamba uwe katika system ya vyombo vya usalama.
Kwa wasaidizi wake ambao wanakuwa hawazidi kumi ni mtu yeyote aliyepitia mafunzo ya ukakamavu,hasa kijana.
Ila kadi ya CCM kwa wasaidizi ni addition factor.
Wewe ulikuwa unaishi Cagrielo lazima!!
Wewe ulikuwa unaishi Cagrielo lazima!!
Kuna rafiki yangu anaitwa Mwalimu Mtitu. unamjua?Nilikuwa naishia kwa mabahaura wa Ruaha sec kwa watoto wa mboga saba msosi wa draft.
Mambo ya chama sijuiSio kweli sasa hapo alikuwa kada wa chama gani?
Hpo tumekupata mkuu...sasa iweje huyu mtu hadi anaenda kufanya ufunguzi wa shughuli mbali mbali za maendeleo lkn elimu hatuiongelei? Kwa hiyo, samahani niulize, ctaki kumkwaza mtu. .. huwa ni mtu hata mbumbu?
ukipiga garama ya mafuta tu ya kuzungusha mwenge nahisi ingesaidia kupunguza upungufu wa madawati kwenye shule kama kila wilaya ingekuwa na mwenge wakeNalo neno ili gharama ziwe kiduchu
Huelewi kitu tuliaHuwezi kuwa mjeshi/ usalama halafu use kada wa chama, usipotoshe umma
Hana hata kusoma na kuandika hajuiAna elimu gni?