Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

Ukiona hivyo ujue kwenye mazishi yake kulikuwa na marufuku ya kupiga picha, ili kuficha hili tulio, huoni ndugu kaandika RIP dad, kuonyesha kuwa katika hao wawili mmoja hatunaye tena.
'Josephine' hili ni jina la kike mkuu
 
.
20190819_090342.jpeg
 
Le mutuz hapa marekani alikuwa akija na hirizi ni mshirikina tokea zamani na sasa ndiye hutumwa na Bashite kwenda sehemu mbalimbali Duniani kuleta Waganda wa kienyeji, mtafute huko Dsm kaa nae haipiti Dakika moja lazima aongelee ndumba hafai hata kidogo.
Kwa hiyo William Malecela aka Le mutuz siku hizi ni mjakazi wa Paulo aka Bashite kwenye mambo ya ndumba? Huyu ukweli ni mtoto wa mzee Chigwemisye? Mbona kama kaachwa apuyange hovyo hovyo na haendani na sifa ya baba yake au Dada zake tunaowajua?
Au ni Toto lenye laana?
 
Back
Top Bottom