As far as I know him, he is a self-centred businessman who wants to use politics for personal gains.
NEVER FOR THE BENEFIT OF THE NATION....never.
It is pity that most of his followers can't see this.
kwa kuwa unapata kigugumizi cha mdomo na mikono katika keyboad kusema kutoka rohoni kuiambia cc na jk kuwa tunataka mabadiliko ya katiba ya tume huru ya uchagzui then you are just a puppet wa el na ra!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!yanazungumzika, lakini si kwa style wanayokuja nayo chadema.
wakuu mbona mnatoka nje ya mada,badala ya kuelimishana na ku argue kwa hoja mnaanza kuttoleana maneno ya kashfa na ya kbaguz,tusifanye hivyo plz mbona jf ni jukwaa la wasomi na great thinkers jaman? Hebu tulumbane kwa hoja
jamani naomba mtutake radhi kikwete hana MASTERS,ana u DR wa kusingiziwa tu,yule baada ya BA yake sbb alikua amefeli aliamua kujiingiza ktk siasa za tanu
tunaomba kauli yako kwa ccm na jk kuhusu mabadiliko ya katiba na tume huru ya uchaguzi?naomba radhi sana, it was oversight.
Nime-counter check nimeona ni kweli ana ba tu.
Angalizo: Ba yenyewe ni nzuri sana, si kama wengine wanavyoichafua hapa.
wapo ambao wamenunuliwa kudistract attention ya wachingiaji kutoka kwenye hoja za msingi za mabadiliko ya katiba na tume huru ya uchaguzi na kila mara wanatuletea upuuzi wao wa zitto. Huyo zitto baadhi tunao uwezo wa kumzaa tukiwa tunapiga push upp!!!!!
Watu wanafika hatua yab kuchukua mapicha ya zamani ya safari za zitto na kutuletea ili mradi kuvuruga majadala, si vibaraka tu hao.
Naomba radhi sana, it was oversight.
Nime-counter check nimeona ni kweli ana BA tu.
Angalizo: BA yenyewe ni nzuri sana, si kama wengine wanavyoichafua hapa.
Mambo mengine tusijadili kwa ushabiki au kujipendekeza! Nina imani hata JK mwenyewe anawachukia sana watu kama Kishongo mnao msingizia habari za uongo. JK ana shahada ya kwanza ya Agricultural Economics aliyo tunukiwa UDSM mwaka 1975 na degree za heshima tu, hana masters!! Watu kama nyie ndio mnao mharibia kwa kujipendekeza kwenu!! Kuweni wakweli kwenye facts za mtu!!JK kamaliza masters yake kweupee pale Mlimani. Si kama online/distant degrees feki za M/Kiti wako.
Mambo mengine tusijadili kwa ushabiki au kujipendekeza! Nina imani hata JK mwenyewe anawachukia sana watu kama Kishongo mnao msingizia habari za uongo. JK ana shahada ya kwanza ya Agricultural Economics aliyo tunukiwa UDSM mwaka 1975 na degree za heshima tu, hana masters!! Watu kama nyie ndio mnao mharibia kwa kujipendekeza kwenu!! Kuweni wakweli kwenye facts za mtu!!
Wote tulifurahia na kukiri uwezo wa aliyekuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni katika Bunge la tisa.
Bahati mbaya Bunge la kumi halina mtu mwenye uwezo kama wake. Aliyepo amejibebesha mzigo ambao hana uwezo wa kuubeba. Atashindwa kabla hata ya kuanza kutokana na sababu kuu mbili:
1. Elimu yake ndogo na pia hana uzoefu wa mikikimikiki ya kisiasa. .... Itakuwa shida/aibu atakapokutana na International counterparts wake.
2. Amezungukwa na viongozi wenzake pamoja na washauri wasanii. Mara nyingi maamuzi yake hutokana na ushauri potofu unaotolewa na wafuasi wake kwenye hii forum.
Nafasi ile ilikuwa ya Mhe Zito, ana sifa zote.
Lakini tufanyeje....Hizi ndio siasa za Chadema wandugu.
JK kamaliza masters yake kweupee pale Mlimani. Si kama online/distant degrees feki za M/Kiti wako.