Kiongozi wa Kambi ya Upinzani safari hii....mmmh | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiongozi wa Kambi ya Upinzani safari hii....mmmh

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kishongo, Nov 22, 2010.

 1. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wote tulifurahia na kukiri uwezo wa aliyekuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni katika Bunge la tisa.

  Bahati mbaya Bunge la kumi halina mtu mwenye uwezo kama wake. Aliyepo amejibebesha mzigo ambao hana uwezo wa kuubeba. Atashindwa kabla hata ya kuanza kutokana na sababu kuu mbili:

  1. Elimu yake ndogo na pia hana uzoefu wa mikikimikiki ya kisiasa. .... Itakuwa shida/aibu atakapokutana na International counterparts wake.

  2. Amezungukwa na viongozi wenzake pamoja na washauri wasanii. Mara nyingi maamuzi yake hutokana na ushauri potofu unaotolewa na wafuasi wake kwenye hii forum.

  Nafasi ile ilikuwa ya Mhe Zito, ana sifa zote.

  Lakini tufanyeje....Hizi ndio siasa za Chadema wandugu.
   
 2. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,495
  Likes Received: 2,739
  Trophy Points: 280
  Kwani hizo sifa ni zipi??
   
 3. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ana uzoefu bungeni,
  ana elimu nzuri,
  ana busara,
  anatanguliza maslahi ya nchi mbele,
  hana ukabila,
  kwa kifupi yeye ni kiongozi tofauti na aliyepo sasa ambaye amekaa zaidi kibiashara.
   
 4. a

  artist Member

  #4
  Nov 22, 2010
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mada nyingine bana, hivi unamjua Mbowe au umemsikia mwaka huu. Unajua kwamba yeye aliingia Bungeni Zitto akiwa Chuo Kikuu ndo kwanza anajifunza siasa?Unajua kuwa Mbowe amekuwa kwenye siasa za kitaifa kabla ya Zitto?Unajua kuwa Mbowe ndiye aliyesimama kukijenga chama kitaifa ktk miaka mitano hii hadi kufika kilipo.

  Unauliza elimu unatakwimu?Unajua Zitto ndio kwanza anahangaika na thesis ya masters wakati Mbowe tayari anayo?Ingawa elimu si kigezo, kiongozi wa kambi ya upinzani iliyopita Hamad Rashid si msomi kwa viwango vya usomi, lakini aliendesha kambi kwa busara sana. So angalia hoja zako
   
 5. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Huna shida ya kusikitika jitoe chadema.
   
 6. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naondoka, this week.
   
 7. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  wewe na hii thread yako wote wapuuzi
   
 8. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hiii inaonekana imekaa kichuki zaidi. Mbowe umemjua toka lini bob? Zito kajifunzia kwa Mbowe. Halafu Mbowe unadai hana elimu unataka ajiite Dr kama Mkwere ndio ujue kasoma? Acha bana mambo yako yule aliyepita kwanza siasa za bara hazijui anajua siasa za pemba aende kule na hawatapata tena nafasi ya kujidai bungeni. Damn!
   
 9. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  ha ha ha, huyo kiongozi wenu wa SI SI EMU ana CV gani kama si elimuya kuunga unga na vyeti vya kupewa kwa hisani ya watu wa marekani.

  achana na siasa, huziwezi we kaendelee na kazi yako ya kuuza mnazi Lugoba.
   
 10. k

  kibla Member

  #10
  Nov 22, 2010
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha mambo ya kipuuzi we dogo,kwa kujua zitto haileweki ndio unataka tumpe chama ili atuangushe.maana hata kwenye mgomo wa juzi bungeni aliogopa akabaki nje alafu leo unataka atuongoze ili akienda ccm chama kife,umepotoka dogo.ujue unachat na watu wenye elimu kuliko wewe hivo uwe na adabu
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Unashida kubwa wewe sijui ni ulewa ama mambo ya Madrasa yanakusumbua!
   
 12. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  JK kamaliza masters yake kweupee pale Mlimani. Si kama online/distant degrees feki za M/Kiti wako.
   
 13. c

  chipegwa Member

  #13
  Nov 22, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  'madrasa' imekujaje tena hapo? acha mambo ya udini wakati wa kuchangia mada ni kukashifu dini.
   
 14. S

  Sir Leem JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Hivi kila jibu lazima uingize Madrasa why?Punguza udini
   
 15. hope 2

  hope 2 Senior Member

  #15
  Nov 22, 2010
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kishongo kaahidiwa u-Dc na kiongozi wao wa CCM. Hatuhitaji kusikia maneno yake ya kichochezi hapa.
   
 16. T

  Tofty JF-Expert Member

  #16
  Nov 22, 2010
  Joined: Nov 6, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kijana umetumwa?
   
 17. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #17
  Nov 22, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  So far ukimondoa huyo Zitto ambae nina uhakika siku zake chadema zinahesabika watakaobakia kwenye nafasi za juu majority wanatokea kanda ya kaskazini sijui kama ni kwa bahati mbaya au makusudi.
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Nov 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkwere lini amesoma hiyo Masters? habari za uharo hizi
   
 19. jcb

  jcb JF-Expert Member

  #19
  Nov 22, 2010
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Acha kudesa
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Nov 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kutaja Madrasa ni udini? Nini maana ya udini ndugu...!?
   
Loading...