Isak Lekisongo Meigio Kiongozi wa Jamii ya Masaai Tanzania na Mjumbe wa Kamati ya Machifu Tanzania amewaondoa wasiwasi wananchi kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 utakuwa ni huru na haki
Amewataka wananchi wenye sifa kushiriki ipasavyo katika kuchagua Viongozi wanaowataka kwa amani na uhuru
Amewataka wananchi wenye sifa kushiriki ipasavyo katika kuchagua Viongozi wanaowataka kwa amani na uhuru