Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ametoa ujumbe wake wa kwanza wa njia ya video tangu Marekani iliposhambulia nchi yake na Iran

Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ametoa ujumbe wake wa kwanza wa njia ya video tangu Marekani iliposhambulia nchi yake na Iran

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
54,015
Reaction score
43,157
Wanakumbi.

Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ametoa ujumbe wake wa kwanza wa njia ya video tangu Marekani iliposhambulia nchi yake na Iran kusitisha mapigano na Israel.
Habari za kutolewa kwa ujumbe huo zilianza kumiminika kupitia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vya serikali ya Iran, kabla ya ujumbe wake kutangazwa kwa ukamilifu saa nane na dakika 35 swa na saa saa za ndani (7:35 kwa saa za Afrika ya Mahsariki).
Haya ndio yamejiri kuhusu hotuba yake:
Katika hotuba iliyotangazwa na runinga ya serikali Khamenei anasema "hakuna jambo la maana" lililotokea kwenye maeneo ya nyuklia yaliyopigwa na Marekani mapema wiki hii, matamshi ambayo yanapinga moja kwa moja matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump kwamba mpango wa nyuklia wa Iran "umefutwa"
Kiongozi wa Iran anasema nchi yake ilionyesha umoja wake, na kutuma ujumbe kwamba "watu wetu ni sauti moja"
Khamenei anasema Trump aliitaka nchi yake "kujisalimisha" lakini maoni yake yalikuwa "makubwa sana kutolewa kwa mdomo" wa rais wa Marekani
"Kwa nchi kubwa na taifa kama Iran, kusema ijisalimishe ni tusi," anaongeza
Kiongozi wa Iran pia alitishia kufanya mashambulizi zaidi katika kambi za Marekani katika eneo na kuongeza: "Iwapo shambulio litatokea, gharama kwa adui na mchokozi itakuwa kubwa."
Hapo awali, katika machapisho yaliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, Khamenei alisema Iran "iliipiga kofi zito usoni mwa Marekani" katika shambulio lake katika kambi ya Marekani nchini Qatar. Hakukuwa na majeruhi kutokana na shambulio hili
Pia alitoa pongezi mara kwa mara kwa kile alichokitaja kuwa ni "ushindi" wa nchi yake dhidi ya Israel
Maoni yake yanakuja siku mbili baada ya usitishaji mapigano uliomaliza vita vya siku 12 kati ya Iran na Israel. Mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran yamewauwa takriban raia 627, kulingana na wizara ya afya ya Tehran. Mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel yaliwaua watu 28, kama ilivyoripotiwa.

SOURCE 👇🏽

Iran would respond to any future U.S. attack by striking American military bases in the Middle East, Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei said on Thursday Source: The Citizen Supreme leader, in first appearance since ceasefire, says Iran would strike back if attacked
 
Attachments

  • IMG_6937.jpeg
    IMG_6937.jpeg
    202.8 KB · Views: 20
Ayatollah ameshauawa tayari.
Maneno yake haya….
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
"Kifo au kuawa shahidi kwa kiongozi mmoja hakutabidili msimamo wa Iran wala kuidhoofisha. Kuna makumi ya maelfu ya makamanda wa kijeshi na maelfu ya wanazuoni viana - hawa ndio wandoiendesha Iran, wanaopigana na wandoongoza mapambano moja kwa moja uwanjani dhidi ya adui Mzayuni"
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Nyie wagalatia ndiyo mnaogopa kufa.
 
Ayatollah yupo mzima lkn kinacho ofiwa na Magaid wa Israel kwasasa taifa lile tuliambiwa kijesh ndio kubwa sijui lilipiga jilan zake kwa siku 6 !!

leo tunachokiona ilo raifa limekuwa la Kigaid linavizia mtu kalala linampiga boom...

taifa lilipambwa sana na Media pamoja na wachungaji wa mchongo lkn hawana nguvu yoyote...

hoooo linaweza kupigana na Dunia na likashinda Haaaaaaaa..
 
Unaripoti kutoka wapi Mafinga?

Huyu Mzee kawafanya leo Marekani waonyeshe picha za katuni eti wanavyoshambulia site za nyuklia😂
Ndio niko mafinga, huyo Mzee yuko wapi?

Alafu mimi katika vita yoyote huwa naamini kuna hasara lazima ipatikane, hata wakati Mfalme Daudi akienda vitani walikuwa wakipoteza, ila mwisho ushindi ni kwao.

Kama Israel ingeamua kubonda majengo ya Raia huko Iran mbona hiyo ndo ilikuwa kazi rahisi zaidi?

Tatizo unajipooza machungu kwa kujifariji na uharibifu uliotokea Israel badala ya kushughulika na hasara zenu hizo
 
Ndio niko mafinga, huyo Mzee yuko wapi?

Yani mtu keshazikwa we unang'ang'ania kusema Mzee...

Sema Marehemu...

Alafu mimi katika vita yoyote huwa naamini kuna hasara lazima ipatikane, hata wakati Mfalme Daudi akienda vitani walikuwa wakipoteza, ila mwisho ushindi ni kwao.

Kama Israel ingeamua kubonda majengo ya Raia huko Iran mbona hiyo ndo ilikuwa kazi rahisi zaidi?

Tatizo unajipooza machungu kwa kujifariji na uharibifu uliotokea Israel badala ya kushughulika na hasara zenu hizo
The US President said Israel was hit “very hard” by Iranian missiles during the recent hostilities, speaking at the leaders'
 
Ukiona hadi kiongozi mkuu wa nchi alijificha jua show ilikuwa kali sana na hata sasa hawezi kuwa na Amani tena.Tofauti ya Iran na Israel ni kwenye precision.Mwingine yuko na quantity na mwingine yuko na quality
 
Ayatollah yupo mzima lkn kinacho ofiwa na Magaid wa Israel kwasasa taifa lile tuliambiwa kijesh ndio kubwa sijui lilipiga jilan zake kwa siku 6 !!

leo tunachokiona ilo raifa limekuwa la Kigaid linavizia mtu kalala linampiga boom...

taifa lilipambwa sana na Media pamoja na wachungaji wa mchongo lkn hawana nguvu yoyote...

hoooo linaweza kupigana na Dunia na likashinda Haaaaaaaa..
Tuaminishwa ujinga mwingi sana hawana lolote Iran, kapigana na Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani. Israel, India.

Marekani isingeingilia ugomvi huo. Zile ballistic za Iran zingeendelea kurushwa ndani ya miezi michache tu waisrael wangeikimbia nchi yao wote.
 
Ukiona hadi kiongozi mkuu wa nchi alijificha jua show ilikuwa kali sana na hata sasa hawezi kuwa na Amani tena.Tofauti ya Iran na Israel ni kwenye precision.Mwingine yuko na quantity na mwingine yuko na quality
Kwani kongozi mkuu ndiyo anapigana 😂

Hadi marekani aombe ceasefire ujue hali ya ndugu yake mbaya, ila kule gaza hataki ceasefire hata kwa kubafilishana na mateka wake wenyewe ndiyo ujue dawa imeingia vizuri safari hii.

Tel Aviv peke yake kuna kifusi zaidi ya tani milioni 10.
 
The US President said Israel was hit “very hard” by Iranian missiles during the recent hostilities, speaking at the leaders'
Lakini pia alisema kuwa wanajua mzee wako aliko? Na akasema pia wamekamilisha malengo yao?

Si ndio?
 
Lakini pia alisema kuwa wanajua mzee wako aliko? Na akasema pia wamekamilisha malengo yao?

Si ndio?
Malengo yao yapi wakati anakiri Israel kapigwa vibaya tena katumia neno “VERY HARD”

Wewe upo Mafinga unaleta ubishi😂

God bless Iranian and Iran in general
 
Malengo yao yapi wakati anakiri Israel kapigwa vibaya tena katumia neno “VERY HARD”

Wewe upo Mafinga unaleta ubishi😂

God bless Iranian and Iran in general
Sema
"God bless Iranians and Iran in General"

Sasa wewe hujiulizi kwanini Rais kasema mambo ya "Very hard"?
 
Sema
"God bless Iranians and Iran in General"

Sasa wewe hujiulizi kwanini Rais kasema mambo ya "Very hard"?
Kasema hayo maneno baada ya kuona
Makombora ya Iran yanavyotua Israel.

hakuna air defense inayo weza kuzizuia Missiles za Iran.
 
Back
Top Bottom